Salama jabir biography for kids
Biography for 2nd graders!
Salama jabir biography for kids
Salama Jabir
Salama Zalhata Jabir (alizaliwa 1 Oktoba1984) ni mtangazaji wa vipindi vya televisheni kutoka Tanzania[1] — hasa katika televisheni ya Afrika Mashariki (EATV).[2]
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Alizaliwa kwenye familia ya watototisa[3].
Hapo awali, aliolewa na kuachwa,kisha alipata kuwa mtangazaji wa kipindi cha MkasiTv, kilichobuniwa na yeye na A.Y. Kipindi kilikuwa kinarushwa kupitia EATV — ambapo ndani yake wanahoji watu mbalimbali maarufu hadi hapo baadaye walipoamua kukiweka katika idhaa ya YouTube tarehe 1 Novemba 2011[4].
Salama pia ni jaji katika mashindano ya kutafuta vipaji vya wanamuziki yaitwayo Bongo Star Search akionekana kuwa ni jaji asemaye ukweli kwa wanaosailiwa[5].
Mafanikio
[hariri | hariri chanzo]Salama Jabir amepata mafanikio yafuatayo katika tasnia ya utangazaji na uanzishaji wa vipindi vya televisheni kilichoongeza ubora wa muziki wa Bongo Flava kwa upande wa utayarishaji wa vide